Nani kutinga robo fainali UEL, UECL?
TIMU 16 zitakazotinga robo fainali za michuano ya Ligi za Europa na Conference barani Ulaya zitajulikana leo wakati klabu 32 zitakaposhuka viwanja tofauti katika michezo ya mwisho ya hatua ya 16 bora.
Droo ya kupanga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, Ligi ya Europa na ya Conference itafanyika Machi 15 katika mji wa Nyon, Uswisi.
Michezo hiyo ya mwisho 16 bora leo ni kama ifuatavyo:
LIGI YA EUROPA
Rangers vs Benfica
Slavia Prague vs AC Milan
Villarreal vs Marseille
West Ham United vs Freiburg
Atalanta vs Sporting CP
Bayer Leverkusen vs Qarabag FK
Brighton vs Roma
Liverpool vs Sparta Prague
LIGI YA CONFERENCE
Fenerbahce vs Union St.Golloise
Fiorentina vs Maccabi Haifa
PAOK FC vs Dinamo Zagreb
Viktoria Plzen vs Servette
Aston Villa vs Ajax
Club Brugge vs Molde
Lille vs Sturm Gaz
Maccabi Tel Aviv vs Olympiacos