Kwingineko

Medali za Olimpiki ni humu tu

PARIS: WAKATI Marekani wakiongoza katika medali za dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Paris ya 2024, medali zaidi za michezo hiyo zitatolewa leo Julai 30 ikiwa ni siku ya saba tu ya mashindano hayo.

Marekani anaongoza kwa kuwa na tuzo 20, akifuatiwa na Ufaransa mwenye tuzo15, watatu Japan mwenye tuzo 12, China wanashika nafasi ya nne akiwa na tuzo 12 huku Uingereza akishika nafasi ya 5 akiwa amejizolea tuzo 10.

Katika mchangauo wa tuzo hizo Marekani amepata dhahabu 9, Silver 3 na Shaba 8, Ufaransa ana dhahabu 3, Silver 5 na Shaba 7, Japani anadhahabu 4, Silver 6 na Shaba 2 huku China ikiwa na dhahabu 2, Silver 5 na Shaba 5 na Uingereza anadhahabu 3, Silver 2 na Shaba 5.

Baadae leo Julai 30 kutakuwa na medali 14 za dhahabu zitakazonyakuliwa katika vipengele mbalimbali huku mwnadada tishio aliyeipatia tuzo nyingi za dhahabu kupitia michezo ya kuruka juu Simone Biles akitarajiwa kuongeza tuzo nyingine ya dhahabu.

Related Articles

Back to top button