Afrika Mashariki

Ligi Kuu Uganda kuendelea leo

LIGI Kuu Uganda(UPL) inarejea leo kwa michezo miwili baada ya kusimama kupisha michuano ya kimataifa.

KCCA itakuwa wenyeji wa Busoga United kwenye uwanja wa MTN Omondi katika mji mkuu wa Uganda, Kampala.

Nayo Express itakuwa mgeni wa Maroons kwenye uwanja wa Luzira Prisons uliopo jiji la Kampala.

Related Articles

Back to top button