
LIGI Kuu Tanzania Bara kwa vijana chini ya miaka 20 inaendelea leo kwa michezo nane.
Michezo hiyo ni ya kundi A na B itakayofanyika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga, Lindi, Morogoro, Kigoma, Dodoma na Tabora.
KUNDI A
Yanga vs Tanzania Prisons
Coastal Union vs KMC
Namungo vs Ihefu
Azam vs Simba
KUNDI B
Mtibwa Sugar vs JKT Tanzania
Mashujaa vs Geita Gold
Dodoma Jiji vs Singida Fountain Gate
Tabora United vs Kagera Sugar