Burudani
Harmonize adai alitongozwa na Paula

Msanii wa Bongo fleva nchini Rajab Abdul, ‘Harmonize’ anasema kuwa Paula ndio aliyeanza kumtongoza tangu mwaka 2017.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameendelea kuandika kuwa ile ishu ya zima taa alishaa kuvuja maana yeye na Paula walikuwa wakiongea na kupigiana simu tangu hajawa na mahusiano na mama yake.
Anasema “Ile inshu ya ZIMA TAA alishangaa kuvuja maana yeye na paula walianza kuongea na kupigiana simu za namna ile kabla hata ya kuwa na mahusiano na mama yake ambaye ni Kajala.”




