BurudaniFilamu

Kisa kuukacha unene Kajala akataa Msosi pendwa

Mrembo mwenye mvuto kwenye tasnia ya filamu Frida Masanja ‘Kajala’ ametaja aina ya vyakula anavyopenda wali, chapati na maharage lakini amelazimika kuviacha.

Kajala amesema kuwa ni aina ya vyakula vyake pendwa ila inamlazimu kuviacha kutokana na kuwa vinamuongezea mwili.

“Vyakula ninavyo vipenda mbavyo kwa sasa nimeviacha kwasababu ndio vinavyonifanya ninenepe ambavyo ni wali, chapati na maharage.”ameandika Kajala kupitia ukurasa wake wa instagram

Related Articles

Back to top button