Bayern katika mtihani Bundesliga
MIAMBA ya Ujerumani, Bayern München leo inashuka dimba la nyumbani Allianz kukiwasha dhidi RB Leipzig katika mchezo muhimu wa Ligi Kuu, Bundesliga.
Bayern iko nyumba kwa pointi 11 baada ya vinara Bayer Leverkusen kushinda mchezo dhidi ya Mainz Februari 23 huku Leverkusen ikitangulia mchezo mmoja zaidi ya Bayern.
Mitanange mingine ya Bundesliga pamoja na ligi nyingine 4 bora ulaya ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Aston Villa vs Nottingham Forest
Brighton vs Everton
Crystal Palace vs Burnley
Manchester United vs Fulham
Bournemouth vs Manchester City
Arsenal vs Newcastle United
LALIGA
Barcelona vs Getafe
Deportivo Alaves vs Mallorca
Almeria vs Atletico Madrid
SERIE A
Sassuolo vs Empoli
Salernitana vs Monza
Genoa vs Udinese
BUNDESLIGA
Borussia Monchengladbach vs Bochum
Union Berlin vs FC Heidenheim
VfB Stuttgart vs FC Cologne
Werder Bremen vs Darmstadt
LIGUE 1
Lorient vs Nantes
Strasbourg vs Brest