Ligi Kuu

Aziz Ki atwaa uchezaji bora Machi

Kiungo wa Yanga SC, Stephen Aziz Ki ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi.

Ki ameshinda tuzo hiyo akiwashinda  Clatous Chama wa Simba SC na Feisal Salum wa Azam FC.

Aziz Ki amefunga magoli matatu na ametoa pasi za usaidizi wa magoli nne ndani ya mwezi huo.

Mechi alizocheza Yanga ni dhidi ya Ihefu aliyoshinda mabao 5-0 Ihefu, Yanga 1-0 Geita, Namungo 1-3 Yanga na Azam FC 2-1 Yanga.

Related Articles

Back to top button