BundesligaEPLKwinginekoLa LigaSerie A
Mitanange ligi bora 5 ulaya leo

BAADA ya hekaheka za michuano ya Ligi ya Mabingwa, Ligi ya Europa na Ligi ya Conference barani Ulaya, ligi za nchi mbalimbali zinarejea tena leo.
Zifuatazo ni mechi za ligi tano bora ulaya kwa leo:
PREMIER LEAGUE
Nottigham Forest vs Tottenham
LALIGA
Osasuna vs Rayo Vallecano
SERIE A
Genoa vs Juventus
BUNDESLIGA
Borussia M’bach vs Werder Bremen
LIGUE 1
Monaco vs Lyon