Kwingineko

Kivumbi El Clásico

MCHEZO wa marudiano wa nusu fainali ya Kombe la Mfalme(Copa Del Rey) nchini Hispania kati ya miamba FC Barcelona na Real Madrid unapigwa leo kwenye uwanja wa Spotify Camp Nou mjini Barcelona.

Mechi hiyo itaamuliwa na mwamuzi wa kati Juan Martinez. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika Machi 2 Barcelona iliifunga Real Madrid kwa bao 1-0.
Michezo ya soka katika nchi tofauti barani ulaya leo ni kama ifuatavyo:

LIGI KUU ENGLAND
Manchester United vs Brentford
West Ham United vs Newcastle

NUSU FAINALI KOMBE LA ITALIA
Cremonese vs Fiorentina

ROBO FAINALI KOMBE LA UJERUMANI
1.FC Nuremberg vs VfB Stuttgart
RB Leipzig vs Borussia Dortmund

KOMBE LA UFARANSA
Nantes vs Lyon

Related Articles

Back to top button