Picha

Watanzania wajitokeza kuipokea Stars

DAR ES SALAAM:SHAMRASHAMRA za mashabiki wa Taifa Stars waliokuja Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere kuwapokea Taifa Stars wanaorudi Leo kutoka Morocco walikokuwa wanashiriki michuano ya mataifa ya Afrika Afcon ambapo walitolewa hatua ya 16 bora.

Back to top button