Kwingineko

Usiku wa UCL ni vita na vita

ULAYA: Round ya 8 na ya mwisho ya Ligi ya mabingwa barani Ulaya inatamatika leo kwa mechi 18 kupigwa majira ya saa 5 usiku saa za Afrika Mashariki mechi hizo ni kama ifuatavyo

Aston Villa vs Celtic – 23:00

Barcelona vs Atalanta – 23:00

Bayer Leverkusen vs Sparta Prague – 23:00

Bayern Munich vs SK Slovan Bratislava – 23:00

Dortmund vs Shakhtar Donetsk 23:00

Brest vs Real Madrid – 23:00

Young Boys vs Crvena Zvezda 23:00

Dinamo Zagreb vs AC Milan 23:00

Girona vs Arsenal 23:00 – 23:00

Inter Milan vs Monaco – 23:00

Juventus vs Benfica – 23:00

Lille vs Feyenoord – 23:00

Manchester City vs Club Brugge – 23:00

PSV Eindhoven vs Liverpool – 23:00

RB Salzburg vs Atletico Madrid – 23:00

Sporting Lisbon vs Bologna – 23:00

Sturm Graz vs RB Leipzig – 23:00

Stuttgart vs PSG – 23:00

Kumbuka timu ziliyoshika nafasi ya 1 – 8 zitafuzu moja kwa moja kwenda 16 bora, zitakazoshika nafasi ya 9 – 24 zitacheza playoff na zile zitakazomaliza 25 – 36 zitaondolewa moja kwa moja kwenye shindano

Tayari Arsenal, Aston Villa, Atalanta, Atletico Madrid, Bayern Munich, Brest, Celtic, Dortmund, Feyenoord, Inter Milan, Juventus, Leverkusen, Liverpool, Lille, AC Milan, Monaco na Real Madrid zimefuzu huku Bologna, RS Belgrade Girona, Slovan Bratislava Sparta Prague, Sturm Graz, Young boys na Leipzig zimeondoshwa.

Related Articles

Back to top button