Africa

Serengeti Girls kazini leo

TIMU ya taifa ya soka ya wanawake chini ya miaka 17(Serengeti Girls) leo inashuka dimbani Dar es Salaam kuivaa Morocco katika mchezo wa kirafiki wa Kimataifa.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Chamazi na hakuna kiingilio.

Mchezo wa marudiano kati ya timu hizo utapigwa Septemba 25 kwenye uwanja huo huo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button