Mastaa
Staa Gani wa Bongo Akitangaza Bidhaa Yake Utanunua Bila Wasiwasi

SOKO la bidhaa zinazotangazwa na mastaa linaendelea kukua, huku mashabiki wakionesha ushawishi mkubwa wa wasanii wanaowapenda.
Hivi karibuni, Beyoncé alitangaza pafyumu yake mpya Cé Lumière, lakini badala ya shangwe, mashabiki wake walionesha wasiwasi kuhusu gharama kubwa ya bidhaa zake.
Hali kama hii inaweza kutokea Bongo Je, kuna msanii wa hapa ambaye akitangaza bidhaa yake, wewe utanunua bila kusita?
Taja msanii wa Bongo ambaye ungemuamini kiasi cha kununua bidhaa yake bila kujiuliza mara mbili!