
RAUNDI ya pili ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC)-FA 2022/2023 inaanza leo kwa mchezo mmoja kufanyika Dar es Salaam.
Silent Ocean ni mwenyeji wa COPCO katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru.
Michezo mingine 7 itapigwa Desemba 9 kwenye viwanja tofauti.