Kwingineko

Rais Yanga atunukiwa tuzo Ufaransa

PARIS: RAIS wa Yanga na Mwenyekiti wa Shrikisho la vilabu Afrika, Hersi Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango kwenye maendeleo ya mpira wa miguu barani Afrika.

Hafla hiyo ya kutunukiwa tuzo hizo za Nigeria-France Sports Awards, zilifanyika juzi jijini Paris, Ufaransa.

Tuzo hiyo ya Hersi ilipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa na Mwakilishi wa Kudumu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Ali Jabir Mwadini.

Related Articles

Back to top button