Kwingineko

Fainali Mataifa Asia kuanza leo

FAINALI za mashindano ya Kombe la Mataifa ya Asia 2023 zinaanza leo Qatar kwa mchezo mmoja wa ufunguzi kundi A.

Katika mchezo huo wenyeji Qatar watavaana na Lebanon kwenye uwanja wa Lusail uliopo eneo la Lusail.

Nchi 24 zinashiriki fainali hizo za 18 za Kombe la Mataifa ya Asia zilizopangwa kumalizika Februari 10, 2024.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button