Kwingineko

Kivumbi Inter vs Atletico Madrid UCL

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) hatua ya 16 bora inaendelea leo kwa michezo miwili kufanyika Italia na Uholanzi.

Inter Milan itakuwa uwanja wa nyumbani wa Giuseppe Meazza katika jiji la Milan kuikabili Atletico Madrid.

Nayo Borussia Dortmund itakuwa mgeni wa PSV Eindhoven kwenye uwanja wa
Philips uliopo jiji la Eindhoven.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button