Africa

Kiporo Ligi ya Mabingwa Afrika kuliwa leo

MCHEZO wa kiporo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi kati ya CR Belouizdad na Al Ahly unapigwa leo, Algeria.

Mchezo huo wa kundi D utafanyika kwenye uwanja wa Julai 5 1962 uliopo mkuu mkuu, Algiers.

Huu hapa msimamo wa kundi D Kabla ya mchezo wa leo:

# Team P W D L F     A Pts
1 Al Ahly 3 1 2 0 4    -1 5
2 Young Africans 4 1 2 1 5    -5 5
3 CR Belouizdad 3 1 1 1 4    -2 4
4 Medeama SC 4 1 1 2 3    -8 4

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button