Nyumbani
Kabelege rasmi ni mwanakinondoni
WAKATI msimu mpya wa mashindano tayari umeanza na dirisha la uhamaisho na usijaili likikaribia kufungwa, klabu ya KMC imetangaza kumsajili Emmanuel Kebelege.
“๐๐๐ฅ๐๐๐จ @officiall_emma_raymond. Rasmi mlinzi ๐๐ ๐ ๐๐ก๐จ๐๐ ๐ฅ๐๐ฌ๐ ๐ข๐ก๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ni mwanakinondoni akitokea Azam Fc akisaini kandarasi ya mwaka mmoja,” imesema KMC.
Dirisha kubwa la uhamisho na usajili wa wachezaji litafungwa Agosti 31, 2023.




