Burudani

Harmonize: Kajala ameniibia kadi ya gari

Msanii wa Bongo fleva nchini Rajab Abdul, ‘Harmonize’ asimulia namna Kajala alivyochukua kadi ya gari yake aina ya Range Rover.

Anasema kuwa yeye kwa sababu aliamini wamekuwa kitu kimoja hivyo alikuwa hafichi vitu vyake mfano kadi ya gari.

Anaeleza kuwa kuna siku ameamka na kwenda sehemu zinapokaa kadi za gari hakuna kadi ya gari moja akauliza kadi ipo wapi??

Kiutu uzima akaelewa huenda mwenzangu anajiandaa na maisha mengine.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button