Burudani

Msanii wa Bongo Fleva Raymond Shabani, ‘Rayvanny’ amesema yuko kwenye taratibu za kumuoa mzazi mwenzake Fayma.

Akizungumza wakati wa kusherekea siku ya kuzaliwa kwa Rayvanny amemwambia mama mtoto wake anamuoa.

“Nimefurahi nilikuwa na show Congo 26 kaniambia nine kumbe kaniandalia sherehe na kuniomba nisafiri kesho nakupenda nakuhakikishia nakuoa.” amesema Rayvanny

Related Articles

Back to top button