Ernst Middendorp Kocha mpya Singida FG

KLABU ya Singida Fountain Gate imemtambulisha Ernst Johannes Middendorp raia wa Ujerumani toka eneo la Freren, kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu hiyo.
Kutambulishwa kwa Middendorp mwenye umri wa miaka 64 kunafuatia kuachia ngazi kwa kocha Hans Van de Pluijm kuinoa klabu huyo mwanzoni mwa wiki hii.
Ufuatavyo ni wasifu wa kocha Ernst Johannes Middendorp ukionesha kipindi na timu alizofundisha:
1977–1981 SG Freren
1981–1982 TuS Lingen
1982–1985 VfB Rheine
1985–1987 VfB Alstätte
1987–1988 Eintracht Nordhorn
1988–1990 Arminia Bielefeld
1990–1992 VfB Rheine
1992–1994 FC Gütersloh
1994–1998 Arminia Bielefeld
1999 KFC Uerdingen
1999 VfL Bochum
1999–2002 Asante Kotoko
2002–2003 FC Augsburg
2004 Hearts of Oak SC
2004–2005 Tractor Sazi
2005–2007 Kaizer Chiefs
2007 Arminia Bielefeld
2008–2009 Changchun Yatai
2009 Rot-Weiss Essen
2009 Anorthosis Famagusta
2009–2011 Maritzburg United
2011 Golden Arrows
2012–2013 Maritzburg United
2013–2014 Bloemfontein Celtic
2015–2016 Chippa United
2018–2020 Kaizer Chiefs
2020 Saint George
2020–2022 Maritzburg United
2023–2023 Swallows FC
2023 SV Meppen