Habari Mpya

Taifa ya Jang’ombe, Azam kukipiga ‘Taifa Day’

Kikosi Azam msimu wa 2022/23

KLABU ya Taifa ya Jang’ombe ya Zanzibar itafanya tamasha lake la ‘Taifa Day’ Agosti 27 kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya Azam.

Tamasha hilo kwenye uwanja wa Aman litatumika kuwatambulisha wachezaji wapya wa Taifa ya Jang’ombe kwa ajili ya msimu ujao.

Timu za Ligi Kuu ya soka Tanzania bara ziko katika maandalizi kwa ajili ya michezo ijayo baada ya ligi kusimama kupisha michezo ya timu ya taifa (Taifa Stars) kufuzu michuano ya ubingwa wa Afrika kwa wachezaji wa ndani(CHAN).

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button