Kwingineko
8 hours ago
Clara atinga Ubalozi wa Marekani
Mastaa
2 days ago
KOCHA Mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, Kim Poulsen amesema amefurahishwa na kiwango kilichoonyeshwa na timu yake na kufanikiwa…
Read More »
DAR ES SALAAM: WASANII nchini wanatarajiwa kunufaika na mgao wa Sh bilioni mbili zilizokusanywa kupitia mfumo wa hakimiliki, huku Serikali ikipanga kufanya tukio maalumu la kugawa fedha hizo Novemba mwaka…
DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema itahakikisha walimbwende watakaoshiriki shindano la miss world mwakani kila mmoja atachagua kabila atakalo litangaza kwenye jukwaa hilo. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul…
DAR ES SALAAM:WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ameibua maswali 22 kuhusu mkataba wa jezi ya Taifa Stars, akisema kuna haja ya kupitia nyaraka za makubaliano hayo…
DAR ES SALAAM: UBALOZI wa Marekani nchini Tanzania umempongeza, ukimtakia kila la heri nyota mpya wa Washington Spirit ya Marekani, Mtanzania, Clara Luvanga. Clara alipata pongezi hizo alipokuwa ofisi za…
NAIROBI: UGOMVI baina ya wasanii Otile Brown na Jovial umefikia pakubwa baada ya Otile kutotaka Jovial ahudhurie kwenye msiba wake. Otile ametoa kauli hiyo baada ya majibizano yanayoendelea mitandaoni baina…
DAR ES SALAAM: JUKWAA la ubunifu wa mavazi nchini, Tanzania Fashion Festival, msimu wa saba linatarajiwa kunogeshwa na mbunifu na Video Queen, Fayvanny, litakalofanyika Septemba 26, mwaka huu katika ukumbi…