Ligi Kuu
26 minutes ago
Yanga kuivaa Coastal kwa tahadhari
EPL
2 hours ago
Jeff Bezos kuimiliki Liverpool
Ligi Kuu
3 hours ago
KOCHA Mkuu wa Simba, Didier Gomes amesema mazoezi wanayoendelea nayo yanampa matumaini ya kufanya vizuri na kutinga hatua ya makundi…
Read More »
WAAMUZI wanne wa Tanzania, Florentina Zablon, Janeth Balama, Helen Mduma na Jonesia Rukyaa wameteuliwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu…
Read More »
MCHEZAJI wa zamani wa Simba na Yanga, Emmanuel Okwi amesajiliwa na Kiyovu Sports Club ya Rwanda kwa mkataba wa mwaka…
Read More »
MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango ndiye mgeni rasmi katika ufunguzi wa Michezo ya Wizara na Idara za Serikali Tanzania…
Read More »
DAR ES SALAAM: KOCHA Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amesema wanatambua ubora wa Coastal Union na wamejipanga kwa umakini kukabiliana na timu hiyo katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania…
MSANII nyota wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Ali Kiba ‘King Kiba’, amesema kuwa kati ya nyimbo zote alizowahi kuzitunga na kuzirekodi katika safari yake ya muziki, wimbo wa Hadithi…
DAR ES SALAAM: MSANII wa filamu anayefahamika zaidi kupitia tamthilia ya Juakali, Judith Actress, amesema bado hajawa katika mahusiano yoyote ya kimapenzi na kwa sasa anaendelea na maisha yake akiwa…
CAIRO: Kocha wa timu ya taifa ya Misri, Hossam Hassan, ameripotiwa kuwa katikati ya tukio la ugomvi kati ya wake zake wawili, tukio ambalo linadaiwa kumfanya aanguke na kupoteza fahamu…
NAIROBI: TANZANIA, Kenya na Uganda zimepewa jukumu la kuhakikisha zinafanya vizuri katika fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027, ambazo zitaandaliwa kwa pamoja na mataifa hayo matatu ya…
LIVERPOOL: Mpango wa uwekezaji wa mfanyabiashara bilionea Jeff Bezos katika klabu ya Liverpool umeibua uwezekano wa mabadiliko makubwa ya umiliki wa klabu hiyo katika kipindi cha miezi 12 ijayo. Kundi…