Kwingineko
2 days ago
Sakata la Ronaldo latua FIFA
Kwingineko
2 days ago
SAUDI ARABIA: BAADA ya kufungua channel yake ya Youtube ambayo kwa sasa ina zaidi ya wafuatiliaji milioni 48.5 na watazamaji…
Read More »
DAR ES SALAAM: WAWAKILISHI wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Coastal Union kesho watashuka katika Dimba la…
Read More »
DAR ES SALAAM: Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi amesema amewekeza nguvu zote katika mchezo wa marudiano dhidi ya Vital’o ya…
Read More »
DAR ES SALAAM: RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema kikosi chao hakijakamilika kuwa tishio Afrika, wanafikiria kuongeza nyota wawili ambao…
Read More »
GENEVA: GWIJI wa soka Duniani Cristiano Ronaldo huenda akasubiri takriban wiki tatu kujua urefu wa adhabu yake ya kufungiwa na FIFA kuelekea Kombe la Dunia 2026. Nyota huyo wa kimataifa…
PARIS: SHIRIKISHO la Soka la Ufaransa (FFF) limetangaza Nahodha wa Timu ya taifa hilo, Kylian Mbappé, atakosa mchezo wao wa mwisho wa kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Azerbaijan Jumapili…
TASHKENT: TIMU ya Taifa ya Uzbekistan itashiriki Kombe la Dunia kwa mara ya kwanza mwakani, na viongozi wao wanasema malengo yao ni kujenga timu na kupata uzoefu badala ya kutafuta…
OSLO: KIUNGO wa Timu ya Taifa ya Norway Morten Thorsby amesema mawaidha ya nahodha wao Erling Haaland wakati wa mapumziko iliamsha ari ya timu na kuisaidia Norway kuifunga Estonia mabao…
DUBLIN: KOCHA wa timu ya Taifa ya Ureno, Roberto Martinez, amesema kadi nyekundu aliyopewa nahodha wake Cristiano Ronaldo ilikuwa ya kikatili na kali mno, baada ya mshambuliaji huyo kutolewa nje…
DAR ES SALAAM: GOLIKIPA namba moja wa Simba SC, Moussa Camara, anatarajiwa kuondoka nchini kesho kuelekea Morocco kwa ajili ya kufanyiwa matibabu na upasuaji wa goti, ambao umepangwa kufanyika Jumatatu,…