Ligi Kuu
3 days ago
Gueye, Mngqithi wazoa tuzo Agosti
Nyumbani
3 days ago
Connor: Presha yote iko Yanga
Nyumbani
3 days ago
TABORA: KOCHA Mkuu wa Tabora United, Anicet Kiazayidi amesema maandalizi kuelekea mchezo…
DAR ES SALAAM: OFISA Habari wa Yanga, Ali Kamwe amesema maumivu ya…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Azam FC imesema bado haijajitoa katika kinyang’anyiro…
DAR ES SALAAM: TIMU za Tanzania, TDS Girls na JKT Queens zitakutana…
DAR ES SALAAM: Wekundu wa Msimbazi Simba wamefanikiwa kukusanya Sh milioni 32…
DAR ES SALAAM: KATIBU wa Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo…
MANCHESTER: KWA beki chipukizi Leny Yoro na wenzake Manchester United, mchezo wa Jumamosi dhidi ya Tottenham Hotspur hautakuwa tu mechi…
Read More »
LONDON: KOCHA wa Chelsea, Enzo Maresca, ametetea sera yake ya kubadilisha wachezaji mara kwa mara (Squad Rotation) baada ya kukosolewa…
Read More »
LONDON: KOCHA wa timu ya taifa ya England, Thomas Tuchel, amemrejesha kikosini Mshambuliaji wa Real Madrid Jude Bellingham na Kiungo…
Read More »
BUENOS AIRES: NYOTA wa Inter Miami, Lionel Messi, na kiungo Rodrigo De Paul wamejumuishwa katika kikosi cha timu ya taifa…
Read More »
DAR ES SALAAM: Msafara wa Baiskeli wa Nyerere Cycling Tour mwaka huu unatarajiwa kutoa madawati 1,000 kwa shule 10, kukarabati madarasa 40 na kujenga madarasa mapya 10, ikiwa ni sehemu…
DAR ES SALAAM: KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Libasse Gueye, amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu msimu wa 2026/27, huku Kocha Mkuu wa Yanga, Manqoba Mngqithi, akitwaa…
DAR ES SALAAM: MWANDAAJI wa Shindano la Miss Tanzania, Leah Mwendamseke ‘Lamata’, amesema mshindi wa Miss Zone ataondoka na gari, huku mshindi wa taji la Miss Tanzania naye akijinyakulia gari…
DAR ES SALAAM: KOCHA wa Gaborone United ya Botswana, Sean Connor, amesema presha kubwa ipo kwa Yanga kuelekea mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika, akisema wenyeji watakuwa na…
NEW YORK, Marekani: ELENA Rybakina amefuzu kwa mara ya kwanza katika historia ya kucheza fainali ya US Open baada ya kuonesha moyo wa kupambana na kumshinda mwenyeji Coco Gauff kwa…
MADRID, Hispania: MADEREVA wa Formula One wanatarajia wikendi yenye presha, ajali na ushindani mkali katika mashindano ya ‘Circuito de Madring’ utakaofanyika kama Spanish Grand Prix kwa mara ya kwanza. Licha…