KwinginekoSerie A
Mitanange Italia, England leo
MCHEZO mmoja wa Ligi Kuu Italia na mitatu ya Ligi Kuu Italia(Serie A) na Kombe la FA England inafanyika leo kwenye viwanja tofauti.
Mechi hizo ni kama ifuatavyo:
SERIE A
Bologna vs Genoa
FA CUP ENGLAND
Brentford vs Wolves
Fulham vs Rotherham United
Tottenham Hotspur vs Burnley