EPLKwinginekoLa Liga

Man City vs Burnley ufunguzi EPL leo

LIGI Kuu za soka England, Hispania na Ufaransa zinaanza leo kwa michezo kadhaa viwanja tofauti.

Huko England mabingwa watetezi wa Ligi kuu England(EPL) Manchester City inaanza kibarua cha kutetea taji hilo kwa mchezo pekee wa ligi hiyo uwanja wa ugenini Turf Moor dhidi ya klabu inayopanda daraja, Burnley.

Katika Ligi Kuu Hispania, michezo miwili itapigwa ambapo Almeria itakuwa nyumbani kuikaribisha Rayo Vallecano wakati Valencia itakuwa ugenini kuanza kampeni dhidi ya Sevilla.

Ligi Kuu ya Ufaransa Ligi Kuu, Ligue 1, itashuhudia Nice ikifungua dimba nyumbani dhidi ya Lille.

Related Articles

Back to top button