BundesligaEPLKwinginekoLa LigaSerie A
Mechi Ligi Kubwa 5 Ulaya leo
MICHEZO ya soka ya ligi mbalimbali duniani inaendelea leo huku mechi kadhaa zikipigwa ligi kubwa tano ulaya.
PREMIER LEAGUE
Luton vs West Ham United
LALIGA
Cadiz vs Villarreal
Almeria vs Celta Vigo
SERIE A
Sassuolo vs Verona
Roma vs AC Milan
BUNDESLIGA
Borussia Dortmund vs FC Heidenheim
LIGUE 1
Nantes vs Marseille