Man City, Chelsea viwanja tofauti EPL leo
LIGI Kuu bora za mataifa matano barani Ulaya zinaendelea leo kwa michezo kadhaa.
Baadhi ya timu za ligi hizo zitawakosa nyota wao kadhaa ambao wako kwenye timu za taifa za nchi zao kwa ajili ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zinazoanza leo Ivory Coast.
Mitanange ya ligi hizo tano bora Ulaya ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Chelsea vs Fulham
Newcastle United vs Manchester City
LALIGA
Las Palmas vs Villarreal
Mallorca vs Celta Virgo
Athletic Club vs Real Sociedad
Real Betis vs Granada
SERIE A
Genoa vs Torino
Napoli vs Salernitana
Verona vs Empoli
Monza vs Inter
BUNDESLIGA
Ausburg vs Bayer Leverkusen
FC Cologne vs FC Heidenheim
Freiburg vs Union Berlin
Mainz vs Wolfsburg
RB Leipzig vs Eintracht Frankfurt
Darmstadt vs Borussia Dortmund
LIGUE 1
Monaco vs Reims
Rennes vs Nice