La Liga

Lewandowski akubalika Barcelona

BARCELONA: MKATABA wa mshambuliaji kinara wa FC Barcelona Robert Lewandowski utaongezwa moja kwa moja mpaka Juni 2026 ikiwa mshambuliaji huyo atafikisha 50% ya michezo klabuni hapo.

Kwa mujibu wa mwandishi kinara wa habari za michezo wa Italia Fabrizio Romano rais wa klabu ya Barcelona Joan Laporta amethibitisha kifungu hicho kuwepo kwenye mkataba wa Lewandowski aliyesajiliwa kutoka kwa wababe wa Bundesliga Bayern Munich.

Inaelezwa kuwa kocha wa kikosi cha Wakatalunya Hansi Flick amefurahishwa na kiwango cha mshambuliaji huyo ambaye mpaka sasa anashika usukani wa vinara wa mabao Laliga akiwa na mabao 10.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button