EPLKwingineko

Leicester yafikiria kumsajili Akanji kwa mkopo

KLABU ya Leicester City ‘The Foxes’inafikiria uhamisho wa beki Manuel Akanji kwa mkopo toka miamba ya soka Ujerumani, Borussia Dortmund.

Akanji mwenye umri wa miaka 27 hana mvuto Dortmund baada ya kuomba kuondoka.

Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Uswisi alihusishwa na uhamisho wa pauni milioni 18 sawa na shilingi bilioni 49.28 kwenda The Foxes msimu uliopita.

Leicester inataka kumsajili Akanji ili kuziba pengo kutokana na uwezekano wa Wesley Fofana kuhamia Chelsea.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button