Ligi KuuNyumbani

Singida FG vs Namungo Ligi Kuu leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa mkoani Mwanza.

Singida Fountain Gate itakuwa uwnaja wa nyumbani CCM Kirumba ikiikaribisha Namungo.

Timu hizo zinakutana zikiwa zimepoteza michezo iliyopita, Singida FG ikikubali kichapo cha mabao 2-0 toka kwa Simba wakati Namungo imechapwa mabao 3-1 na Yanga.

Related Articles

Back to top button