FANyumbani

Patashika Simba vs African Sports ASFC leo

MICHEZO ya raundi ya 16 bora Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) inaanza leo kwa mechi moja Simba ikiwa mwenyeji wa African Sports kwenye uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.

Timu nyingine zilizoingia 16 bora ni Yanga, Geita Gold, Green Warriors, Tanzania Prisons, Singida Big Stars na JKT Tanzania.

Nyingine ni Ihefu, Pan African, Mtibwa Sugar, KMC, Kagera Sugar, Mbeya City, Azam na Mapinduzi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button