Ligi KuuNyumbani

Mtihani kwa Ruvu Shooting leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa Dodoma na Morogoro.

Ruvu Shooting inayoshika nafasi ya 16 mwisho wa msimamo wa ligi ikiwa na pointi 17 baada ya michezo 23 itakuwa mwenyeji wa Kagera Sugar yenye pointi 29 ikiwa nafasi ya 6 kwenye uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma utakuwa kwenye hekaheka wakati Ihefu inayoshika nafasi ya 9 ikiwa na pointi 27 itakapokuwa mgeni wa Dodoma Jiji yenye pointi 24 ikishika nafasi ya 11.

Katika mchezo mmoja wa ligi hiyo uliopigwa Februari 23 kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Mbeya City imeilaza Polisi Tanzania kwa goli 1-0.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button