Ligi Ya WanawakeNyumbani

Simba Queens dimbani Ligi Kuu

MIAMBA ya soka la wanawake Simba Queens itakuwa mwenyeji wa Baobab Queens katika mchezo pekee leo wa Ligi Kuu ya wanawake Tanzania Bara.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam.

Mchakachaka wakati mchezo wa Ligi Kuu wanawake kati ya Yanga Princes na Amani Queens Desemba 28, 2023(Picha: Mtandao wa Instagram wa Yanga Princess).

Matokeo ya michezo minne ya ligi hiyo iliyofanyika Desemba 28 ni kama ifuatavyo:

Yanga Princess             6 – 1   Amani Queens
Fountain Gate Princess 3 – 2   Ceasiaa Queens
Bunda Queens             2 – 3   Aliance Girls
Geita Gold Queens       0 – 1   JKT Queens

Related Articles

Back to top button