Ligi KuuNyumbani

Ruvu Shooting kuzinduka leo?

LIGI Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili Dodoma na Morogoro.

Ruvu Shooting inayopigania kuepuka kushuka daraja itakuwa mwenyeji wa Azam kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro wakati KMC ni wageni wa Dodoma Jiji kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.

Katika mchezo mmoja ulipigwa Aprili 21, Polisi Tanzania iliyokuwa mwisho wa msimamo wa ligi ilizinduka kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi baada ya kuichapa Ihefu mabao 2-1 na kupanda nafasi moja.

Related Articles

Back to top button