EuropaKwingineko
Moto kuwaka kufuzu Europa leo

Viwanja kumi vitawaka moto leo wakati timu 20 zitakapokwaruzana katika michezo ya kwanza kufuzu kuignia makundi Ligi ya Europa.
Moja ya michezo hiyo ni mpambano kati ya Fenerbahce dhidi Austria Wien.
Ratiba ya mechi nyingine ni kama ifuatavyo:
AEK Lamaca vs SC Dnipro-1
Zalgiris Vilnius vs Ludogorets Razgrad
Silkeborg vs HJK Helsinki
FC Sherrif vs Pyunik
Omonia Nicosia vs Gent
Sivasspor vs Malmo FF
Hearts vs FC Zuerich
Olympiacos vs Apollon Limassol
Shamrock Rovers vs Ferencvaros