BundesligaKwinginekoLa LigaSerie A
Mitanange ligi 4 bora Ulaya
MECHI za mpira wa miguu za ligi katika mataifa mbalimbali zikiwemo Ligi nne bora Ulaya zinaendelea leo kwenye viwanja tofauti.
Michezo hiyo ni kama ifuatavyo:
LALIGA
Las Palmas vs Atletico Madrid
SERIE A
Bologna vs Lazio
BUNDESLIGA
Darmstadt vs Bochum
Ligue 1
Paris Saint-Germain vs Montpellier