Kwingineko

Mitanange kirafiki kimataifa leo

MICHEZO ya kirafiki ya kimataifa ya mpira wa miguu inaendelea leo kwa mechi kadhaa.

Mechi hizo zinafanyika wakati ligi katika mataifa mbalimbali zimesimama.

Patashika hizo za kirafiki leo ni kama ifuatavyo:

Zambia vs Zimbabwe
Malawi vs Kenya
Ivory Coast vs Benin
Ireland vs Ubelgiji
Slovakia vs Austria
Denmark vs Uswisi
England vs Brazil
Ufaransa vs Ujerumani
Guyana ya Kifaransa vs Haiti
Tunisia vs Croatia

Related Articles

Back to top button