EPLKwinginekoSerie A
Man City kuonesha ubabe EPL leo?
BAADA ya kutwaa ubingwa wa Kombe la Dunia la Klabu Desemba 22, Manchester City leo inarejea Ligi Kuu England dhidi ya Sheffield United ukiwa mmoja wa michezo sita ya EPL.
Man City ipo nafasi ya nne katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 37 baada ya michezo 18.
Michezo mingine ya EPL pamoja na Ligi Kuu Italia, Serie A ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE:
Luton Town vs Chelsea
Aston Villa vs Burnley
Crystal Palace vs Brentford
Wolves vs Everton
Nottingham Forest vs Manchester United
SERIE A:
Atalanta vs Lecce
Cagliari vs Empoli
Udinese vs Bologna
AC Milan vs Sassuolo
Verona vs Salernitana
Juventus vs Roma