BundesligaKwinginekoLa Liga
Mitanange ligi kubwa 3 ulaya leo
BAADA ya mapumziko ya siku kadhaa kupisha michuano ya kimataifa, mechi za ligi katika maeneo mbalimbali duniani zinarejea leo.
Mechi za ligi kubwa tatu ulaya leo ni kama ifuatavyo:
LALIGA
Rayo Vallecano vs Deportivo Alaves
BUNDESLIGA
Bayern Munich vs Bayer Leverkusen
LIGUE 1
Paris Saint-Germain vs Nice