Mapinduzi CupNyumbani

Kombe la Mapinduzi kuanza leo

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar inaanza leo kwa michezo miwili kufanyika uwanja uliofanyiwa ukarabati wa New Amaan.

Mchezo wa awali utazikutanisha Mlandege na Azam kabla ya Vital’O ya Burundi kuivaa Chipukizi.

Hekaheka wakati wa mchezo kati ya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars(Picha: Mtandao wa Facebook wa TFF).

Mashindano hayo yanaanza baada ya ufunguzi wa uwanja wa New Amaan kwa mchezo kati ya Timu ya taifa ya Zanzibar(Zanzibar Heroes) na Tanzania Bara(Kilimanjaro Stars) timu hizo zikitoka suluhu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button