Mapinduzi CupNyumbani
Kivumbi Mapinduzi Cup kuendelea leo

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi 2024 inaendelea leo visiwani Zanzibar kwa michezo miwili ya kundi A.
Mchezo wa awali Mlandege itaivaa Vital’O kwenye uwanja wa New Amaan Complex.
Katika mechi ya baadaye leo, miamba ya soka ya Dar es Salaam, Azam itaoneshana kazi na Chipukizi kwenye uwanja huo huo.