Nyumbani

Gamondi kocha bora Agosti

Kocha wa Yanga SC, Miguel Gamondi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Agosti wa Ligi Kuu.

Gamondi amewashinda Roberto Oliveira wa Simba SC na Hemed Morocco wa Geita Gold ambao aliingia nao fainali ya mchuano huo wa tuzo za mwezi uliofanywa na Kamati ya Tuzo za Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button