Burudani

Faiza kutetea haki za wanaume

Mwanamitindo Faiza Ally ametangaza kutetea haki za wanaume.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema kuwa wanawake wengi watetezi.

“Mimi sasa hivi likitokea jambo lolote nitakua mtetezi wa wanaume kwa sababu wanawake wana watetezi wengi sana.”

“Hawa viumbe wanahitaji huruma zetu, wana tulea na kutuheshimisha sana. Na burudani juu wanatupa mtetezi wa wanaume Tanzania yaani kuanzia sasa hata baba mtoto wangu akikosewa namsimamia.”

Related Articles

Back to top button