BurudaniMuziki

Mwijaku ajishusha na kuyamaliza na Khadija Kopa

DAR ES SALAAM:Mtangazaji na Mwigizaji Burton Mwemba, ‘Mwijaku’ amemuomba radhi Malkia wa Taarabu nchini Khadija Omary ‘Khadija Kopa’

Mwijaku kupitia mtandao wa instagram ameweka video akiwa anamuomba radhi Khadija Kopa na watanzania wote kwa kurushiana maneno mtandaoni.

“Kwaniaba ya watanzania wote nipo na mama yangu kipenzi Khadija Kopa namwomba msamaha yeye na nawaomba radhi wazazi na watanzania wote mliokwazika na yaliokuwa yanaendelea mitandaoni.”

Kwa upande wake Malkia Khadija Kopa amesema amesema amemsamehe Mwijaku.

Related Articles

Back to top button