KwinginekoLa Liga

Dabi ya Madrid: Ni mechi ya kisasi

MICHEZO minne ya Ligi Kuu ya Hispania inapigwa leo huku kivutio kikiwa dabi ya Madrid kati ya Real Madrid na Atletico Madrid.

Dabi hiyo itapigwa dimba la Santiago Bernabeu ikiamuliwa na mwamuzi wa kati Jesus Gil.

Katika mchezo wa kwanza Septemba 18, 2022, Real iliichapa Atletico magoli 2-1 kwenye uwanja wa Wanda Metropolitano.

Mitanange mingine ni kama ifuatavyo:

Espanyol vs Mallorca
Cadiz vs Rayo Vallecano
Valencia vs Real Sociedad

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button